1
/
of
8
Mkanda Wa Kupunguza Tumbo (Tummy Slimming Belt)
Mkanda Wa Kupunguza Tumbo (Tummy Slimming Belt)
Regular price
TZS 35,000.00 TZS
Regular price
TZS 65,000.00 TZS
Sale price
TZS 35,000.00 TZS
Unit price
/
per
Tax included.
- Warranti Ya Siku 30
- Malipo Salama
- Tunatuma Mikoani
Description/Maelezo:
kwa kwanini uwe na kitambi au nyama uzembe, wakati wenzako wanapendezai mjini??
😖💁♀️ Tumbo kubwa, nyama zembe au kitambi hakikuharibii shepu au muonekano wako tu, bali hukuchukulia kujiamini kwako!
🖐🔥Haya sema kitambi sasa basi! Maana Bestfy tunayo mikanda ya kubana tumbo ambayo ukiitumia utayaona matokeo ndani ya wiki mbili tu! Mikanda yetu haiumizi wala kujikunja wakati wa umevaa.

Kwanini unahitaji mikanda hii!
- Inatengeneza shape na kukufanya uwe na kiuno kama nyigu
- Inaondoa manyama uzembe ya mgongoni
- Mizuri kwa mwanawake waliojifungua inarudisha tumbo fasta
- Kwa wale mabibi harusi wenye vitambi wanaweza kutumia ili kuficha vitambi

🔥 Wahi mapema inagombaniwa imebakia michache. Bei ni ya punguzo, sh. 35,000 tu!!
